Wageni waalikwa wakicheza kwaito
Fessal na Nassor wakiingia Ukumbini
Fessal na Nassor wakipunga Mikono
Fessal na Nassor wakipeana Tano.
Familia Ikifurahia
Bwana Harusi mtarajiwa Fessal
Bwana Harusi mtarajiwa Nassor
Fessal na Nassor wakipewa zawadi.
mament nao hawakuwa nyuma
Mama akiwapa mkono wa pongezi Watoto wake.
Wazazi wa fessal na Nassor wakipokea zawadi kutoka kwa wageni waalikwa
No comments:
Post a Comment